00:00.000 作曲 : RAYMOND MAZIKU/Salmin Kasimu Maengo
00:08.830S2kizzy baby
00:11.990♪
00:16.030Hii leo
00:18.580Acha tu niwaweke wazi
00:23.060Mubaki na mishangao
00:25.520Kuhusu haya mapenzi
00:27.770Nataka kuvaeleza
00:32.320Na leo
00:35.460Tena wahiteni paparazi
00:39.610Warushe kwa mitandao
00:42.070Siyataki mapenzi
00:43.930Nataka jipongeza
00:48.560Unaemwita your baby
00:50.660Kumbe nae ana baby
00:52.210Ooh unaemwona kipenzi
00:55.190Ni mshenzi hakupendi
00:57.030Ama kweli mtihani
00:59.120Mambo mengi duniani
01:00.670Na mi stress siwezi
01:02.620Ooooh siwezi
01:04.530Aahh
01:05.240Bora ni Enjoy (Mmmmmh)
01:08.630Maisha mafupi ni simple
01:12.890Yanini niteseke roho
01:16.600Jiunge nami upoze koo
01:21.590Bora ni enjoy
01:24.960Maisha mafupi ni simple
01:28.960Yanini niteseke roho (Ooh yanini yanini)
01:33.030Jiunge nami upoze koo (Mmmh khoo khoo khoo khoo)
01:38.640Kama kupendaaa
01:41.440Bora nimpende mama yangu (Mmmh)
01:46.320Kama kupendwaa mimii
01:50.070Nitajipenda peke yangu (Ooooh)
01:54.280Kilichoniponza ufalaaa
01:58.200Kujiona simba kumbe swalaaa
02:02.440Kazama kwenye penzi uchwalaaa
02:06.000Badala ya kusaka miamalaaa
02:09.680Ail yoooo oh
02:10.960Toka ni date pesa (Enhee)
02:13.270Sa napendeza (Enhee)
02:15.180Na tena naenjoy (Enhee)
02:17.530Na wanangu ma homeboy (Enhee)
02:19.100Ooooh account inasoma (Enhee)
02:21.530Na kamwili kananona (Enhee)
02:23.500We mwenyewe si unaona yani (Enhee)
02:26.230Ai nasema boraaaa
02:27.830Bora ni Enjoy (Kwiri pi pi pi pi pi pi)
02:31.340Maisha mafupi ni simple (Kirii ka dakitka)
02:35.540Yanini niteseke roho
02:37.410(Yanini niteseke rohoo)
02:39.460Jiunge nami upoze koo
02:41.880(Jiunge na mimi ah)
02:44.360Bora ni Enioy (Kwiri pi pi pi pi pi pi)
02:47.990Maisha mafupi ni simple (Kirii ka dakitka)
02:51.970Yanini niteseke roho (Aaahh iveeeeiii ve)
02:56.250Jiunge nami upoze koo (Jiunge na mimi ah)
03:00.880Napenda nikilewa
03:02.640Nipande juu va meza
03:05.620Minjonjo
03:06.520Huku natema kingereza
03:09.180Tupande juu ya meza
03:11.070Tupande juu ya meza
03:12.940Tupande juu ya meza
03:14.660Za za za za za
03:17.850Bora ni Enjoy (Kwiri pi pi pi pi pi pi)
03:20.840Maisha mafupi ni simple (Kirii ka dakitka)
03:25.200Yanini niteseke roho (Ooh yanini yanini)
03:29.360Jiunge nami upoze koo (Ooh khoo khoo khoo khoo)
03:33.210Kamix Lizer
03:35.970♪